Anjita foundation ikiwa ni mwanachama wa Tanzania ECD Network inaungana na serikaali na wadau wote kushiriki na kuwaalika katika TANZANIA MALEZI SUMMIT itakayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 Mei, 2025-Dodoma. Hii ni fursa kubwa katika harakati za kuendelea kuwekeza huduma bora za Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali kwa mtoto.
‘ WEWE NI MDAU MUHIMU ,USIPANGE KUKOSA’